GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nataka Uongozi wa Simba SC ( hasa Benchi la Ufundi ) wampigishe Benchi Msimu mzima ili akome na liwe Fundisho.Ila kaonyesha dharau kweli...hajui kuwa maboss wote huajiri mtu mtiifu na mwaminifu...kawa Kama mtu asiyejua anachokitaka
Wakati mnashangilia uhuni wa Feitoto hamkujuwa kwamba mpira unaongozwa kwa taratibu na sheria?Sasa wanasimba mnasemaje tuwauzie uto au tumweke benchi msimu mzima...?
Makolo yameshasahau! 🚮Wakati mnashangilia uhuni wa Feitoto hamkujuwa kwamba mpira unaongozwa kwa taratibu na sheria?
Hzo tunaziita tamaaaIla kaonyesha dharau kweli...hajui kuwa maboss wote huajiri mtu mtiifu na mwaminifu...kawa Kama mtu asiyejua anachokitaka
Hakika,na lazima aangukie puaHzo tunaziita tamaaa
Imeisha hyoooo...Hakika,na lazima aangukie pua
Wameshaambiwa walete Dola za Kimarekani Bilioni Moja kama wanazo ili wamchukue. Unyama Unyama Ubaya Ubwela.Kuna ile timu ya kuzoa zoa...wanaweza kumtangaza kwenye tambiko lao la tarehe 4
Kasahau Wazungu hawajui kupindisha...Ila kaonyesha dharau kweli...hajui kuwa maboss wote huajiri mtu mtiifu na mwaminifu...kawa Kama mtu asiyejua anachokitaka
Subiri tajir auze magodoro anaweza kumchukuaWameshaambiwa walete Dola za Kimarekani Bilioni Moja kama wanazo ili wamchukue. Unyama Unyama Ubaya Ubwela.
Hakuna msukuma MSHAMBaaaaaaaX3Yameshasahau! [emoji706]
Tuwape Utopolo zoazoaSasa wanasimba mnasemaje tuwauzie uto au tumweke benchi msimu mzima...?
Wale hawapindishi kabisaKasahau Wazungu hawajui kupindisha...
😳Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC...