Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Akili za kitoto zinakusumbua, upo kaa msengesi mliuza wachezaji mkanunua wakimbizi ndo hao sasa.
Kila anayekosoa Ni utopolo ? Akili zingine ni ajabu Sana.Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga...
No.. Nchimbi ni mbovu kupindukiaKibu na Nchimbi wanakaa kwenye kapu moja..
Both nguvu nyingi na utulivu zero.
UmeniwahiMimi Yanga Kibu mchezaji mzuri ila psychological hajakaa sawa anashindwa kuamini kama kweli anaichezea timu kubwa na anawekwa kwenye first eleven
Ni kweliWewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga...
WEWE NI TOPOLO TENA LILO ZEEKA.Kila anayekosoa Ni utopolo ? Akili zingine Ni ajabu Sana .
Kwenye moja unataka tuseme tano ,kumkosoa mtu kunamjenga ,kibu Ana papara za ajabu Sana mchezaj anayejielewa hawez kuwa Kama kibu Ni upepo tu unampitia saiz ndio maana ananza kikosin...
Kwamba kibu dennis ni ziggoAliyeelewa anielekeze
Kamba ikiondoka tu mguumo atakuwa tishio sanaUmeniwahi
Sana. Kibongo bongo uwezo wa Kudrible mpira wa kiwango kile sijamuona zaidi yakeKamba ikiondoka tu mguumo atakuwa tishio sana
[emoji23][emoji23][emoji23]yule nu mtz Kama hutaki kaungane na manara kunya mpaka morosi mliuza wachezaji mkanunua wakimbizi ndo hao sasa.
Ya kagere ile sio assist mzee.Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga
3. Kasababisha penati.
4. Isipokuwa ubora wa goalkeeper leo kibu angeondoka na moira.
5. Goalkeeper kaokoa michomo karibia 5 kutoka kwa Kibu.
Unataka mchezaji afanye nini ndio uridhike!?
UTOPOLO BANA.
Kibu Denis muda mfupi tu. Atenda chezea nje. Ni wachezaji wachache sana kama Kibu duniani.
Mkimbizi mama yako kenge wewesi mliuza wachezaji mkanunua wakimbizi ndo hao sasa.
Kwahiyo asingepiga yeye kagere angefunga!?Ya kagere ile sio assist mzee.
Mpira ulikua rebound.
Kibu ni noma tena ile noma yenyewe wabongo wamezoweya ukhanithi ukhanithi yule jamaa ni noma kwanza kwa ligi yetu hamna mtu kama kibu.Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga..
Nakubaliana na wewe kwa hoja yakoWapemba wanamsemo wao; "Lisilo haja, linadharura"
Maana yake hata kisichofaa kwa matumizi ya kila siku ipo siku kitasaidia kwenye dharura...
Chama alikuwa anapigiwa makelele na kulaumiwa anapoozesha mpira, ila baada ya kuondoka wale wale waliokuwa wanamlaumua wanatamani arudi, na kamwe hawapendi kusikia tetesi akihusishwa na upande wa pili!Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbzi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa Ni mchezaj mwenye papara Sana ,Ni mtu asie na shabaha ,anatumia nguvu nyingi kuliko akili...
Siwezi kurusha ngumi kwa mtu uliyejichokea mapema kama wewe mkuu. Am sorry!once your foreigner you will always be the same..
rusha ngumi basi kama vipi
Naona unanitafutia burn kinguvu we choko[emoji867] Nikisema wewe Ni pimbi unaliwa kisamvu ntakuwa nakosea kwahiyo wachambuz wanaochambua mpira wamewazid makocha mbinu? Shule za kata Zina shida Sana ona zinatuletea mapunga Kama haya, wewe ni zero brain sikujib Tena fala weweWEWE NI TOPOLO TENA LILO ZEEKA.
Yani wewe unaakili kumzidi Pablo aliyefundisha Real Madrid...
TrueMimi Yanga Kibu mchezaji mzuri ila psychological hajakaa sawa anashindwa kuamini kama kweli anaichezea timu kubwa na anawekwa kwenye first eleven