Kibu Denis

Kibu Denis

Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga...
Kila anayekosoa Ni utopolo ? Akili zingine ni ajabu Sana.

Kwenye moja unataka tuseme tano ,kumkosoa mtu kunamjenga ,kibu Ana papara za ajabu Sana mchezaj anayejielewa hawez kuwa Kama kibu ni upepo tu unampitia saiz ndio maana ananza kikosini.

Pia elewa anafichiwa Sana makosa lakin huwez mtegemea kibu et atakubeba kimataifa pengine aache papara atulize akil ndipo atakuwa mchezaj mzur Ila kwa Sasa hakuna kitu, endelea kuniita utopolo.
 
Kila anayekosoa Ni utopolo ? Akili zingine Ni ajabu Sana .
Kwenye moja unataka tuseme tano ,kumkosoa mtu kunamjenga ,kibu Ana papara za ajabu Sana mchezaj anayejielewa hawez kuwa Kama kibu Ni upepo tu unampitia saiz ndio maana ananza kikosin...
WEWE NI TOPOLO TENA LILO ZEEKA.

Yani wewe unaakili kumzidi Pablo aliyefundisha Real Madrid.

Pablo kamwani Kibu, Paulsen kamwamini Kibu, wewe kajamba nani unakuja kubwabwaja humu.

Hivi unaweza hata kupiga danadana!?
 
Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga
3. Kasababisha penati.
4. Isipokuwa ubora wa goalkeeper leo kibu angeondoka na moira.
5. Goalkeeper kaokoa michomo karibia 5 kutoka kwa Kibu.
Unataka mchezaji afanye nini ndio uridhike!?
UTOPOLO BANA.

Kibu Denis muda mfupi tu. Atenda chezea nje. Ni wachezaji wachache sana kama Kibu duniani.
Ya kagere ile sio assist mzee.

Mpira ulikua rebound.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbzi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa Ni mchezaj mwenye papara Sana ,Ni mtu asie na shabaha ,anatumia nguvu nyingi kuliko akili...
Chama alikuwa anapigiwa makelele na kulaumiwa anapoozesha mpira, ila baada ya kuondoka wale wale waliokuwa wanamlaumua wanatamani arudi, na kamwe hawapendi kusikia tetesi akihusishwa na upande wa pili!
 
WEWE NI TOPOLO TENA LILO ZEEKA.

Yani wewe unaakili kumzidi Pablo aliyefundisha Real Madrid...
Naona unanitafutia burn kinguvu we choko[emoji867] Nikisema wewe Ni pimbi unaliwa kisamvu ntakuwa nakosea kwahiyo wachambuz wanaochambua mpira wamewazid makocha mbinu? Shule za kata Zina shida Sana ona zinatuletea mapunga Kama haya, wewe ni zero brain sikujib Tena fala wewe
 
Back
Top Bottom