Kibu Denis

Kibu Denis

mbwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
1,174
Reaction score
2,912
Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbazi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa ni mchezaj mwenye papara Sana, ni mtu asie na shabaha, anatumia nguvu nyingi kuliko akili.

Any way mm sio kocha wa mpira huenda anaaminiwa kwa kuwa na kitu Cha ziada ambacho mm na wewe hatuwez kukiona kwa urahisi, Ila kwa macho ya kawaida pale hakuna mchezaj wa kutuvusha hasa kimataifa. Anakosa nafas za wazi sana.

Muda utaongea huenda akabadirika lakin kwa uchezaj wake huu Ni Waz Simba hatuna mtu pale Zaid ya kudra za mungu kusaidia tu na kuweza kushinda.

Kibu angekuwa ni mtu wa one chance one goal Simba leo alipaswa kushinda hata 6-0 ukitoa goli tulilofungwa kwa uzembe wa mkude kwa kukabia macho mtu anaondoka na mpira anamwangalia tu.
 
Wapemba wanamsemo wao; "Lisilo haja, linadharura"

Maana yake hata kisichofaa kwa matumizi ya kila siku ipo siku kitasaidia kwenye dharura

Kibu anamapungufu lakini kocha mzuri anaweza kumbadilisha. Hata Mugalu kuna washabiki wengi hawamkubali lakini makocha wote waliopata nafasi kumfundisha wanampa kipaumbele wakidai anakazi nyingine muhimu kiwanjani zaidi ya finishing.

Tumpe muda na kumtia moyo Kibu. With time naamini mapungufu yake yatarekebishwa na ataweze kuisaidia timu kwa vizuri zaidi
 
Si mlishangilia wakati anapewa uraia. Leo tena mnasononeka ?
 
Tumia lugha ya staha huyo ni binadamu na mtanzania mwenzako, mpira usitufanye tukose staha.

Kuwa mkimbizi siyo kutaka wala kujiamria
once your foreigner you will always be the same..

rusha ngumi basi kama vipi
 
Kibu na Nchimbi wanakaa kwenye kapu moja..

Both nguvu nyingi na utulivu zero.
 
Wewe mzee hujui mpira.
Kibu
1. Kafunga goal
2. Kafanya assist kagere Kafunga
3. Kasababisha penati.
4. Isipokuwa ubora wa goalkeeper leo kibu angeondoka na moira.
5. Goalkeeper kaokoa michomo karibia 5 kutoka kwa Kibu.
Unataka mchezaji afanye nini ndio uridhike!?
UTOPOLO BANA.

Kibu Denis muda mfupi tu. Atenda chezea nje. Ni wachezaji wachache sana kama Kibu duniani.
 
Back
Top Bottom