Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbazi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa ni mchezaj mwenye papara Sana, ni mtu asie na shabaha, anatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Any way mm sio kocha wa mpira huenda anaaminiwa kwa kuwa na kitu Cha ziada ambacho mm na wewe hatuwez kukiona kwa urahisi, Ila kwa macho ya kawaida pale hakuna mchezaj wa kutuvusha hasa kimataifa. Anakosa nafas za wazi sana.
Muda utaongea huenda akabadirika lakin kwa uchezaj wake huu Ni Waz Simba hatuna mtu pale Zaid ya kudra za mungu kusaidia tu na kuweza kushinda.
Kibu angekuwa ni mtu wa one chance one goal Simba leo alipaswa kushinda hata 6-0 ukitoa goli tulilofungwa kwa uzembe wa mkude kwa kukabia macho mtu anaondoka na mpira anamwangalia tu.