Kibu Dennis hana maarifa ya mpira

Kibu Dennis hana maarifa ya mpira

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu

Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
 
Wewe unayo? Mbona hukucheza?
 
Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu

Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
nadhani kuna wakati huwa anaamini anacheza mpira wa kindimu (ule wa makaratasi), hajui kuwa kuna watu nchi nzima wanamwangalia na wana matumaini makubwa sana afanye kitu chenye faida. mpira ni akili, sio tu nguvu na mbio. kama uliona alichofanya aziz ki, alijua tu hapa nahitaji goli, naweza kukosa, hivyo nisubiri kidogo huyu hussein kazi lazima tu atanipiga gwala eneo la penalt na kweli ikatokea. maeneo yale ukifika aidha funga, toa pasi au tegesha penati. kama yote hayawezekani bora uridishe mpira nyuma kuliko kupiga nje. ukiangalia hata mpira wa waarabu tu hawa ndio upo ivyo.
 
Kumbe simba ina mchezaji anaitwa Gwede 😆😆
Simba ni timu ilisukwa kitapeli tapeli na kisanii sana
 
Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu

Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
Wajerumani wana msemo wao power without control is nothing
 
Toka siku yakwanza nilimkataa huyo dogo ni makuli Wala sio mchezaji hovyokabisa
 
Mimi sio kocha ila kuna wakati nawaelewa makocha wanaomprefer Kibu ni kuwa anakupa rythm tofauti ya kimchezo kulingana wa wengine(nguvu,speed , shooting ability,aerial presence, endurance and game spirit) kwenye mpira kuna wakati kubalance au utimilifu kwa timu ni kutofautiana kitabia/sifa kwa wachezaji. Shida ni kuwa wale waliokuwa wanaleta rythm ya utofauti na Kibu kama creativity (Chama,Miqussone&Onana) goal threat ( Phiri, Baleke,Chama) wote ndo kama mjuavyo
 
Kibu dee, mzee wa nguvu kuluKUNDU. angepata akili kidogo tu basi angekuwa mchezaji hatari zaidi kwa kizazi hiki cha Tz.
 
Back
Top Bottom