kibu mbinafsi mnoKibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu
Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
Wewe unayo? Mbona hukucheza?Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu
Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
Vipi RUFAA yenu ? Mamelodi kacheza na EsparanceNguvu nyingi bila akili mwili lazima uteseke[emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]
Anapenda sana kucheza na jukwaaa jana chenga kidogo anawaambia makolo wenzie washangilie π€£πKibu Denis ni mchezaji mwenye nguvu nyingi na mbio! Akili ya mpira hana.
Aliyekumimba jana goli la piliGwede ndo nan
nadhani kuna wakati huwa anaamini anacheza mpira wa kindimu (ule wa makaratasi), hajui kuwa kuna watu nchi nzima wanamwangalia na wana matumaini makubwa sana afanye kitu chenye faida. mpira ni akili, sio tu nguvu na mbio. kama uliona alichofanya aziz ki, alijua tu hapa nahitaji goli, naweza kukosa, hivyo nisubiri kidogo huyu hussein kazi lazima tu atanipiga gwala eneo la penalt na kweli ikatokea. maeneo yale ukifika aidha funga, toa pasi au tegesha penati. kama yote hayawezekani bora uridishe mpira nyuma kuliko kupiga nje. ukiangalia hata mpira wa waarabu tu hawa ndio upo ivyo.Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu
Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
Wajerumani wana msemo wao power without control is nothingKibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu
Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.