Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mwenyekiti mwenyewe ni mzee Mangungu hapo kuna nini?Makolo na uchawi ni mama na mtoto.
Hao jamaa ni kama watoto yaani kwa kulalamika wangepigwa faini ungesikia kelele zao.Kuna mchezaji alipiga mwenzake kiwiko juzi ..hajakumbwa na adhabu au ndio kupisha mechi ya mzizima derby
Ni kosa la ulozi au utovu wa nidhamu? Sasa wao wanajuaje kama kufanya hivyo ni ulozi ? au kamati inatumia kigezo kujua kuwa mchezaji akitoa taulo golini ni ulozi ?Wachezaji wa klabu ya Simba, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Sh. 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union litilokuwa limewekwa pembeni ya lango wakati mchezo ukiendelea, jambo lililoashiria imani za kishirikina.
View attachment 2934330
Hilo taulo zito kiasi gani hadi walibebe watu wawili?Mwenyekiti mwenyewe ni mzee Mangungu hapo kuna nini?
Shida 🦁 hawa na ulozi damu damu,na imani na sayansi ya michezo imewapitia kando.😁Wachezaji wa klabu ya Simba, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Sh. 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union litilokuwa limewekwa pembeni ya lango wakati mchezo ukiendelea, jambo lililoashiria imani za kishirikina.
View attachment 2934330
Umeniwahi na mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo.Hilo taulo zito kiasi gani hadi walibebe watu wawili?
Na kwann utoe taulo ya mchezaji ni utaratibu ganBodi ya ligi ni washirikina, kwanini wamehusisha hilo tukio na uchawi?