Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Umeandika mambo mengi pumba tupu...Hiyo timu na wachezaji wake wana historia ya kipekee kwenye suala zima la imani za kishirikina. Kwenye mechi yao dhidi ya Platinum ya Zimbabwe kuna shabiki wao aliingia uwanjani na paka kubwa jeusi kwa ajili ya kuwaroga wapinzani.
Mechi dhidi ya Wasauzi kule Bondeni walitaka kuuchoma moto uwanja wa watu, kisa tu uchawi! Na mwisho wa siku CAF wakawapiga faini ya dola elfu 10!
Mechi yao dhidi ya Raja Casablanca msimu uliopita, dereva wa timu akiwa amewabeba wachezaji kwenye basi la timu alirudi kinyume nyume kwa umbali mrefu; huku akihatarisha usalama wa wachezaji! Kisa tu imani za kishirikina.
Nyie wachezaji wenu wangapi wameshafanya hivyo kuondoa mataulo...
Haya ni mara ngapi mnafanya ushirikina wa kupita mlango ambao sio...
Yani Uto huna la kumcheka Simba..tena nyie ni wachawi wabobevu kwa sbb mna mbinu za kivita nyingine hazionekanagi..