Kibu na Mzamiru watozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa Ulozi

Umeandika mambo mengi pumba tupu...
Nyie wachezaji wenu wangapi wameshafanya hivyo kuondoa mataulo...
Haya ni mara ngapi mnafanya ushirikina wa kupita mlango ambao sio...
Yani Uto huna la kumcheka Simba..tena nyie ni wachawi wabobevu kwa sbb mna mbinu za kivita nyingine hazionekanagi..
 
Sasa mnacheka nini kuhusu simba hivi nyie mna akili kweli? Mmewasahau wachezaji wenu kina mzize na Job?? Ila ukiwa utopolo na akili inaisha kabisa...
Yani wanajifanya wao sio makonkodi kwa mechi 2 mfululizo...
Kwa hiyo unakubali kuwa simba na yanga wote wachawi?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tukio la jana wangefanya Yanga pasingekalika humu. Mashabiki wa simba wana mdomo sana ila timu yao inategemea ushirikina kila kona
 
Lile taulo lilikua na JAMBO

lilipo toka tu wakapigwaaaa
 
Bado kenge hawaelewi kilitokea nini, na bado hata kuunganisha dots hawajui.
Mm nacho jua Sheria haziruhusu huingia na vifaa visivyo kua ama ku husiana na football game uwanjani..

Kipind Fulani miaka ya nyuma IVO MAPUNDA

nae alikua na tabia ya kuingia na kitaulo 😊😊😊😊
 
Hilo linaangukia kwenye kosa la kumghasi/ kumpotezea Kipa umakini Tena kwenye eneo lake. Kulihusisha na uchawi ni akili mbovu za hao waliotoa hiyo adhabu.

Kwani wale wanaokwepa kupita kwenye mageti rasmi ya kuingia uwanjani Kwenye derby ya Simba na Yanga, mbona Huwa wanaadhibiwa na haisemwi ni Kwa imani za kishirikina!?
 
Wao wamejuaje kuwa taulo Hilo linaashiria uchawi? Au Imani za kishirikina???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…