ππππ nimecheka km mwehu hapa, LolAchukue watoto kwa mama wa kinyakyusa? Thubutu yake...
Mungu amsaidie kijana awe na uchumi mzuri apeleke watoto boarding school.
Nilitoka na vyeti huku nimevaa kaptula ili asijue naondoka.
πππππππ nimecheka km mwehu hapa, Lol
Watoto ni wamwanamke mjomba,ushawahi kusikia nyimbo nani kama Baba??hata uhudumie vipi mwisho wa siku nani kama mama,damu ya mtu haipotei kamweUnachukua vyeti na vitabu vyako tu, watoto unaacha?
Ninazo au sina sijaelewaHuna akili mkuu.
Kuniroga mimi ni ngumu sana sishawahi kurogwa nikiwa na miezi 9 babu mmoja kijijini alinipa zinduko la maisha gusa unaseNakazia
Hawa viumbe hawanisumbui tena abadani hasirani,hata awe kama malaika nacheza na akili zake anavyotaka ndo navyotaka,wanao uwa wanawake akili hawana ndo hawa unaishi nao kwa akili tu hawasumbuiWewe ni silent killer kabisa
Hilo halinipi shida watoto watasema siku mama Baba yuko wapi??damu haipotei ila pesa zinapotea no love ,no mercyKm huyo mwanamke ana uchumi wake binafsi, wala usijisumbue wee toka na hatakutafuta kamwe, labda kuwajibika juu ya watoto tu.
Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula
Inamaana ata watoto wako huwaudumii
Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula
Inamaana ata watoto wako huwaudumii
Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
Mbona km unaumia na maamuzi ya dark code yako hiyo?Hilo halinipi shida watoto watasema siku mama Baba yuko wapi??damu haipotei ila pesa zinapotea no love ,no mercy
Niumie vipi kitakachonitesa kwanyie viumbe ni kipi??Mbona km unaumia na maamuzi ya dark code yako hiyo?
ππππ
Sichukui chochote mjombaUngechukua vitu vyako vyote ila hakikisha Watoto wako unawajali.
Hili ndio dhumuni la mada taja bei kabisa!Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Mkuu,Habari za Muda huu waungwana.
Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.
Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.
Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema.
Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo..
1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.
2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.
3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea
4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.
Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.
Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.
Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Bros kwa bros siuzi madini nawapa code hivi viumbe visiwasumbue even jesus alijua kuwa wanawake kuwapenda wanaume ni ngumu ndo maana akawaambia wa submit kwetuHili ndio dhumuni la mada taja bei kabisa!
at that point nilikuwa sijamaster dark code,hisia zilikuwa zinaniendesha at that time natumia logic,hisia pembeniMkuu,
Unasema unajua sana ku calculate yajayo, lakini mbona umeshindwa kumjua huyu mwanamke unayemsema mbaya sana, ukakaa naye mpaka umezaa naye sasa mnaenda kuwapa tabu watoto kwa ugomvi wenu?
Yani hapo napo unajiona unajua ku calculate yajayo bado?
Unajua ku calcukate yajayo kweli au unajidanganya mwenyewe tu?
THE 15 DARK CODE COMMANDMENTSHili ndio dhumuni la mada taja bei kabisa!