Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

at that point nilikuwa sijamaster dark code,hisia zilikuwa zinaniendesha at that time natumia logic,hisia pembeni
Sawa.

Sasa hao watoto inakuwaje mkuu?

Mtawaleaje kwa ugomvi huu?

Na mfano, unaposema humpi pesa huyo mama yao, watoto wanafanyaje hapo, wanakula vipi, wanahudumiwaje mambo ya kila siku hapo?

Mkiachana itakuwaje, utabaki na watoto au watoto atabaki nao yeye?

Akibaki nao yeye utampatia pesa ya matunzo ya watoto?
 
Kwangu mimi niliona red flags za kutosha mbinu pekee aliyokuwa anaitumia ni kuomba msamaha ! Ilifika time nilichoka i peacefully walked away now sihitaji mahusiano ya kiduwanzi yaliyojaa stress!
 
Mkuu nikuulize swali kwanini upange kutengana na mkeo ilihali unajua kusudi la Mungu ni kuishi pamoja
 
Bro iko hivi mwanaume hatelekezi kizazi chake najipanga kwa mda fulani mwisho wa siku watoto wanapelekwa sehemu ambayo kuwaona ni ngumu,watateseka kwa sasa ila kwa baadae wata ishi vyema
Acha waishi na mama yao,pia hakikisha Kuna sehem kuna jasho lako wanalichuma ili kukidhi mahitaji ya kila siku!!
Ili wakikuita kwenye ustawi jamii na asasi nyinginezo utaongea kwa kujiamini kama kiongozi!!!

Usitenganishe watoto na mama Yao hizo no tabia za kike ambazo wanatufanyia sisi!!!
 
Nimeipenda hii.
 
Namhala ! upo mbele sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Lengo la huu uzi ni jamaa apate relief ya maumivu aliyopitia na bado yawezekana hayajaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…