haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
kwa mfano,
Mtandao wa Tigo unasumbua hata kutuma pesa zinakwama, wao hawajatoa taarifa kwa wateja kuwajuza kuna tatizo, wana act kama kila kitu kiko sawa, kinachotokea ni watu wanazidi kufanya miamala na malalamiko yanazidi.
kulikua na haja gani yakua na mitandao ya kijamii kama hawawezi kutoa taarifa kwa wateje? ku act kama hawajuikinachoendelea ni jeuri au ni uzembe tu wa wenye kuhusika? nimetuma hela naambiwa nisubiri masaa 72 ya kazi.
kwanini hizi jeuri?