Ni kibwagizo gani cha kipindi cha michezo redioni ulikipenda sana au unakipenda sana hivi.
Kuna kile kibwagizo kipindi cha michezo redioni kinapoanza kwanza inakuvutia halafu na zile bwembwe za watangazaji kuongea hara.
Kuna kile cha RTD zamani
Kuna ile cha Radio free (eee, ale ale aleee).
Kuna ile ya Redio One kama goli inafungwa vile halafu Maulidi wa Kitenge ndo anaingia.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧