Kibwagizo gani cha kipindi cha michezo ulikipenda

Kibwagizo gani cha kipindi cha michezo ulikipenda

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Ni kibwagizo gani cha kipindi cha michezo redioni ulikipenda sana au unakipenda sana hivi.

Kuna kile kibwagizo kipindi cha michezo redioni kinapoanza kwanza inakuvutia halafu na zile bwembwe za watangazaji kuongea hara.

Kuna kile cha RTD zamani
Kuna ile cha Radio free (eee, ale ale aleee).
Kuna ile ya Redio One kama goli inafungwa vile halafu Maulidi wa Kitenge ndo anaingia.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Naanza kuunga Dots. Kwanza hostel kuwa karantini. Pili school bus kuwa daladala kwa miezi mitatu
 
Back
Top Bottom