Kibwana Shomari ana miaka 21

Kama
KAKOLANYA 1994
MANULA 1995
KIBU 2000
MKUDE 1992
KAPOMBE 1992

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] KIBWANA asogeze 2005 hapo
 
Kama
KAKOLANYA 1994
MANULA 1995
KIBU 2000
MKUDE 1992
KAPOMBE 1992

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] KIBWANA asogeze 2005 hapo
Hapa kwa Mkude naamini hata kama kapunguza miaka ni 1 au 2, tumemaliza nae primary mwaka 2004,
Sikusoma nae ila pale Azaboi kuna wana walisoma nae Kinondoni
 
Mbona Wema Sepetu ana miaka 19 tangu 2006 hadi Leo hamshangai?
 
Mkude, Manula, Kapombe hata huyu Kibwana nadhani wanaweza kuwa katika age hiyo kama tofauti ndogo za administration kuna wachezaji wanaanza kuingia kucheza wakiwa wadogo na shida siku hizi hatuna hizi Umiseta tulikuwa tunawaona hawa mpaka wakichagulia team za vijana ila kwa Onyango, Morrison, wawa na Kibu mhhh hapa kuna question mark? Kikubwa kwa Africa hatuaminiki lakini pia inaweza kuwa kweli mbona kina VVD wako 30 na ni ukweli ila wamejengeka, Konate 21 ila bonge la mtu ila yule sura yake unajuwa mdogo na pia mchezaji wa Africa akiwa alizaliwa ulaya basi hakuna shaka na umri wake maana kule hakuna ku fake pia wana record zao academy na shule kule hakuna kipaji kikatokea ghafla tu wanavinasa na lazima wapite academy zao huku kwetu wanaibuka kama uyoga ndio maana hatujui background zao. Ila kuna Huyu Bocco toka Azam inaanzishwa kapandisha team kachezea team miaka kibao kaja Simba mechi kibao nadhani yuko 40 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…