Mkude, Manula, Kapombe hata huyu Kibwana nadhani wanaweza kuwa katika age hiyo kama tofauti ndogo za administration kuna wachezaji wanaanza kuingia kucheza wakiwa wadogo na shida siku hizi hatuna hizi Umiseta tulikuwa tunawaona hawa mpaka wakichagulia team za vijana ila kwa Onyango, Morrison, wawa na Kibu mhhh hapa kuna question mark? Kikubwa kwa Africa hatuaminiki lakini pia inaweza kuwa kweli mbona kina VVD wako 30 na ni ukweli ila wamejengeka, Konate 21 ila bonge la mtu ila yule sura yake unajuwa mdogo na pia mchezaji wa Africa akiwa alizaliwa ulaya basi hakuna shaka na umri wake maana kule hakuna ku fake pia wana record zao academy na shule kule hakuna kipaji kikatokea ghafla tu wanavinasa na lazima wapite academy zao huku kwetu wanaibuka kama uyoga ndio maana hatujui background zao. Ila kuna Huyu Bocco toka Azam inaanzishwa kapandisha team kachezea team miaka kibao kaja Simba mechi kibao nadhani yuko 40 huko.