Kibwana Shomari ana miaka 21

Sio huyu aliyeenda Afcon ya U17 na kina Mkomola?
 
Kibwana alienda afcon na kina mkomola chini ya miaka 17
Kwahiyo hata CAF aliwadanganya maana wanapima sample..?
 
Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika Kibwana ni hazina kwa Taifa.

View attachment 2220965
Mimi ni Yanga, ila huyu jamaa labda kama ni chipukizi kwenye mpira. Ila uhalisia amevuka 21
 
Kama
KAKOLANYA 1994
MANULA 1995
KIBU 2000
MKUDE 1992
KAPOMBE 1992

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] KIBWANA asogeze 2005 hapo
Kweli kabisa aisee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uyu jamaa wa congo kwel 26yrs io sura aipresent miaka 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…