Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu Denis muongo [emoji28][emoji28][emoji28]Tucheki na huku pia[emoji16]View attachment 2220991
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Mimi ni Yanga, ila huyu jamaa labda kama ni chipukizi kwenye mpira. Ila uhalisia amevuka 21Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika Kibwana ni hazina kwa Taifa.
View attachment 2220965
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]MANULA ANA MIAKA 26????? AZAM AMEKAA TANGU 2010 HUU UONGO WA WAZI WAZI
Kibu muongo [emoji28][emoji28][emoji28]Kwahyo Kibu ana miaka 22 yaani nikikutana nae aniamkie afu eti mimi niitikie?? Big NO
Kweli kabisa aisee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kama
KAKOLANYA 1994
MANULA 1995
KIBU 2000
MKUDE 1992
KAPOMBE 1992
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] KIBWANA asogeze 2005 hapo
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] dea nimecheka mnoo.Duh utopolo bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu uwiiiiih.Kubabake... Hahaha... Ana watoto 3 huyu mwamba na wake 2. Ndoa ya kwanza ilikuwa 2013...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona dada yao sepenga ana 23 toka 2006
Acha uongo wako nawee khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmemuona akikua nlimzidi madarasa mawili alkua anatuamkia shuleni huo umri hajadanganya Mluguru ila ameanza kucheza na wakubwa zaman sana
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hahha yani hawa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] dea nimecheka mnoo.
Utak sasaAcha uongo wako nawee khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmmh
Sema wee mwenzangu.Hahha yani hawa
Sio kwa kudanganya huko