Tetesi: Kibwana Shomari kutimkia Azam Fc

Tetesi: Kibwana Shomari kutimkia Azam Fc

Nitafurahi sana ikiwa hivyo, na feisal akitimkia huko pia. Azam iwe timu yenye ushindani zaidi nayo iongeze mashabiki.

Timu kubwa ziwe tatu kweli sio simba na yanga tu.
Tumpeleke na Chama huko, Azam izidi kujiimarisha
 
Back
Top Bottom