GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka.
Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Yao ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya MC Alger utakaochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Januari 18, mwaka huu kisha na michezo isiyopungua mitatu ya ligi.
Chanzo: mwananchi_official
Na nasikia kuwa Pini uliyompiga kama akiichomoa sasa unamuendea kabisa kule inakotengenezwa nchini Burundi.