GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunasubiri pin atakayopigwa Mpanzu. Lazima ikubali tuNa nasikia kuwa Pini uliyompiga kama akiichomoa sasa unamuendea kabisa kule inakotengenezwa nchini Burundi.
Mpanzu mchezaji aliyekuwa anaimbwa sana na viongozi na mashabiki wa Simba utadhani ni Messi lakini kiwango anachokionyesha uwanjani ni sawa na Mutale aliyechangamka,,hii NCHI ngumu sana hii!Tunasubiri pin atakayopigwa Mpanzu. Lazima ikubali tu
Sasa hapo bado hajapigwa msumariMpanzu mchezaji aliyekuwa anaimbwa sana na viongozi na mashabiki wa Simba utadhani ni Messi lakini kiwango anachokionyesha uwanjani ni sawa na Mutale aliyechangamka,,hii NCHI ngumu sana hii!
Aah aah makolo utawaweza sasa.Mpanzu mchezaji aliyekuwa anaimbwa sana na viongozi na mashabiki wa Simba utadhani ni Messi lakini kiwango anachokionyesha uwanjani ni sawa na Mutale aliyechangamka,,hii NCHI ngumu sana hii!
Nimecheka sana Mkuu na lazima nae atapigwa Pini na Mtu Mmoja hivi hapo hapo mwenye Asili ya Congo DR ila balaa.Tunasubiri pin atakayopigwa Mpanzu. Lazima ikubali tu
Natamani ungeona jinsi nilivyocheka baada ya kusoma hii Post yako Mkuu. Na umesema ukweli na ajipange mno tu.Sasa hapo bado hajapigwa msumari