Kuna kuwa na imani nakuwa na imani kupitiliza ata kuliko walioleta hizo dini yani jana husiku nasikia mtu anaongea na Cm kumbe anaongea na mchungaji simu kaweka roud speaker mchungaji anamwambia chukua kikombe weka maji, jamaa kafanya hvyo haya sasa mwaga maji kidogo chini kisha yakanyage, jamaa kafanya hvyo sasa naombea maji yaliyobaki kwenye kikombe ili yawe damu kisha unywe. Basi mchungaji kaomba kisha kamwambia tayali yameisha kuwa damu uaweza kunywa jamaa kanywa. Mchungaji sasa nakushushia malaika sita wakuzunguke uku tukiomba, jamaa sawa mchungaji. Mchungaji malaika sita tiyali wamekwisha kuzunguka sasa unajisikiaje? Jamaa najisikia vzr mchungaji. Yani nilitamani nimnase jamaa kofi basi tu.