Kichaa kapewa Panga! Pasua Roho zao

Kichaa kapewa Panga! Pasua Roho zao

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hii ndo aina ya asilimia kubwa ya viongozi wetu. Chalamila ni mfano mmojawapo kati ya wengi sana. Hajaanza leo kuwa anazungumza kilevi namna hiyo. But anapewa Mkoa aongoze.

Nikakumbuka miaka ya nyuma kuna Daladala lilikuwa limeandikwa hivi KICHAA KAPEWA PANGA! PASUA ROHO ZAO. Nikimwangalia Chalamila na wenzie wengi walio siasani na vyombo vya dola. Ni hao hao. Ni vichaa wamepewa mapanga. Watupasue roho zetu. Siyo mioyo? Hapana Roho.

Miaka hii ndo nakutana na huu msemo mwingine ambao unanipa wasaa wa kutafakari. Hii dunia hii....nyie acheni tu bandugu. Unaweza ukachonga kinyago vizuri ukakiweka ndani. Kisha kikaanza kikuogopesha. Hutaki kurudi home. Watu wanashangaa why? Kumbe unakiogopa kinyago chako.

KICHAA KAROGWA TENA.
 
Lawama pia ni kwa CCM, hiki chama ni kiharibifu sana kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom