Kichaa kapewa rungu..! DC kasesela Clouds TV

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Mkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..!

Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
 
Mkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..!

Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] Huku sipo aisee
 
kaongelea nn?
Si kasema hapo juu nanukuu kwa faida yako mkuu "Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana" although ni sentence tata huyo Dc anajiuza kwa maana ya kujiuza??
 
Jamaa anapiga kazi, sema baadhi ya watu wanaendekeza siasa.. hahaha!
 
na hata amini pamoja na kufanya maigizo yake magufuli hatamkumbuka kwenye udc,namuomba ajiandae kisaikolojia kuliko kufanya maigizo
 
Hivi unajua unavyomisiwa?
Yaani natafuta ka-emoji kenye mabusu sikaoni. Mie nilishapanic nikajua umenitosa maana kuna uzi ulianzishwa humu nikaona vile ulivyokuwa kwenye "Deep Mahaba" sijui na mdada gani huko. Kunguru muoga mie, nikakimbiza mbawa zanguπŸ™
 
huyu DC yuko poa,maana kama yuko mkoani ila anabamba media kinoma
 
Yaani natafuta ka-emoji kenye mabusu sikaoni. Mie nilishapanic nikajua umenitosa maana kuna uzi ulianzishwa humu nikaona vile ulivyokuwa kwenye "Deep Mahaba" sijui na mdada gani huko. Kunguru muoga mie, nikakimbiza mbawa zanguπŸ™
Na aliyekwambia kama nna uwezo wa kuthubutu kukutosa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…