Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] Huku sipo aiseeMkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..!
Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
Si kasema hapo juu nanukuu kwa faida yako mkuu "Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana" although ni sentence tata huyo Dc anajiuza kwa maana ya kujiuza??kaongelea nn?
ha ha ha. Umeona eeh. Labda anatania..[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] Huku sipo aisee
Hivi unajua unavyomisiwa?Aiseee! 😵
Yaani natafuta ka-emoji kenye mabusu sikaoni. Mie nilishapanic nikajua umenitosa maana kuna uzi ulianzishwa humu nikaona vile ulivyokuwa kwenye "Deep Mahaba" sijui na mdada gani huko. Kunguru muoga mie, nikakimbiza mbawa zangu🙁Hivi unajua unavyomisiwa?
Na aliyekwambia kama nna uwezo wa kuthubutu kukutosa ni nani?Yaani natafuta ka-emoji kenye mabusu sikaoni. Mie nilishapanic nikajua umenitosa maana kuna uzi ulianzishwa humu nikaona vile ulivyokuwa kwenye "Deep Mahaba" sijui na mdada gani huko. Kunguru muoga mie, nikakimbiza mbawa zangu🙁
Akae ofisini afanye kazi.Kwahio
Ulitakaje!!?