Kichaka kinawaka moto πŸ”₯πŸ”₯ panzi, buibui na wadudu wengine wamechanganyikiwa wanakimbia hovyo

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037

Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa!

Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu waliokuwa wamejificha kwenye vichaka ghafla wamepanic wanaanza kurusha maneno na kupingana na uhalisia kwamba kichaka kinateketea!

Wanaruka ruka huku na kule wanakitafuta kichaka kingine πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…