John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Kichanga kinaendeleaje? Hongera Jeshi letu la Zimamoto.
Dah sentenso hiyo ya mwili sikuisomaUmesha ambiwa mwili
Eti kichanga kinaendeleaje😳😳unataka tucheke msibanKichanga kinaendeleaje? Hongera Jeshi letu la Zimamoto.
HakikaInasikitisha sana...
Taifa linapitia katika mateso makali ya laana baada ya kumpata Malkia Yezebeli ambae hana kibali mbele za Mungu baada ya kunyakua madaraka kwa kupora chaguzi.
View attachment 2121141
Kule kwetu Kibosho mjingamimi kwa lugha ya kikwetu huwa anaitwa 'Sembo'.Sembo ni ndondocha lisilojitambua.Huyu sio kayafa?[emoji16][emoji16]
alafu watu Kama Hawa uwa wanagonga 10 yote mtajua hamjui
Kule kwetu Kibosho mjingamimi kwa lugha ya kikwetu huwa anaitwa 'Sembo'.Sembo ni ndondocha lisilojitambua.