Kichapo cha 'Shalubela' ilichokipata FC Barcelona kutoka kwa Bayern Munich kina Majibu tosha kwa 'Wanasiasa' wababe wa Afrika!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa...

1. Usimdharau Mpinzani wako
2. Usijiamini sana
3. Utajiri wako si mali kitu
4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani
5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu
6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha
7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza Kukubadilikia muda wowote

Ninaisubiri sana tu tarehe 28 October 2020 kwani, huenda Kipigo cha 'Kishalubela / Kikatili' ilichopata FC Barcelona 'Kikahamia' pale Mnazi Mmoja.
 
Genta kama Genta!! Nakukubali sana the genius!! Ukiona Genta ameona na wewe lazima ufungue macho ili uone.

Asante Genta
 
Tatizo la mtoa mada Hana msimamo halafu Ni muoga,Yuko Kama Pasco anauma na kupuliza,haeleweki anataka kuongea Nini,mada zake Zina mafumbo mengi anayoyaelewa yeye mwenyewe tu.
Sasa sijui anaogopa Nini wakati Ana ID nyingi humu na Hakuna mtu wa kumkamata.
Angekua ananyoosha Kama wengine labda.
Mada zake zaweza kuwa nzuri ila zi mafumbo mengi,na mafumbo ni dalili za uoga na kutokujiamini.
 
Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa.....

1. Usimdharau Mpinzani wako
2. Usijiamini sana
3. Utajiri wako si mali kitu
4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani
5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu
6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha
7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza Kukubadilikia muda wowote

Ninaisubiri sana tu tarehe 28 October 2020 kwani, huenda Kipigo cha 'Kishalubela / Kikatili' ilichopata FC Barcelona 'Kikahamia' pale Mnazi Mmoja.
Now we are talking
 
Wewe mtu huwa nakubali sana mawazo na uandishi wako...Ubarikiwe, uzidishiwe na uongozewe kwa hisani ya aliyekuumba na kukuleta duniani humu... labda watakusikiliza... binafsi huu mfumo winner takes all ndio chanzo cha matatizo humu ulimwenguni... ingefaa sana baada ya uchaguzi kuwe na serikali ya kitaifa ili wale walio shinda nafasi ya pili nao wawe na nafasi ya kuendelezea maendelo ya mawazo yao katika wizara au vitengo fulani vya serikali ili uchaguzi mwingine tuweze kuwalinganisha walichofanya kwa waliyopangiwa kikatiba.. hili likifanyika, litaondoa figusu sasa... kila mtu anapigania tumbo lake. winner takes all imepitwa na wakati...
 
Tatizo la mtoa mada Hana msimamo halafu Ni muoga,Yuko Kama Pasco anauma na kupuliza,haeleweki anataka kuongea Nini,mada zake Zina mafumbo mengi anayoyaelewa yeye mwenyewe tu.
Sasa sijui anaogopa Nini wakati Ana ID nyingi humu na Hakuna mtu wa kumkamata.
Angekua ananyoosha Kama wengine labda.
Mada zake zaweza kuwa nzuri ila zi mafumbo mengi,na mafumbo ni dalili za uoga na kutokujiamini.

labda hujamuelewa.. huyu bwana nimesoma post zake nyingi sana na ni mtu mkweli, anawachanaga wote CCM na CDM bila mkwaruzo... msome tu na taratibu utaanza kumuelewa.. yuko objective kweli.. kwa yeye Tanzania kwanza...
 
Back
Top Bottom