GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tatizo la mtoa mada Hana msimamo halafu Ni muoga,Yuko Kama Pasco anauma na kupuliza,haeleweki anataka kuongea Nini,mada zake Zina mafumbo mengi anayoyaelewa yeye mwenyewe tu.Genta kama Genta!! Nakukubali sana the genius!! Ukiona Genta ameona na wewe lazima ufungue macho ili uone.
Asante Genta
Now we are talkingKipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa.....
1. Usimdharau Mpinzani wako
2. Usijiamini sana
3. Utajiri wako si mali kitu
4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani
5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu
6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha
7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza Kukubadilikia muda wowote
Ninaisubiri sana tu tarehe 28 October 2020 kwani, huenda Kipigo cha 'Kishalubela / Kikatili' ilichopata FC Barcelona 'Kikahamia' pale Mnazi Mmoja.
Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa.....
1. Usimdharau Mpinzani wako
2. Usijiamini sana
3. Utajiri wako si mali kitu
4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani
5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu
6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha
7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza Kukubadilikia muda wowote
Ninaisubiri sana tu tarehe 28 October 2020 kwani, huenda Kipigo cha 'Kishalubela / Kikatili' ilichopata FC Barcelona 'Kikahamia' pale Mnazi Mmoja.
Tatizo la mtoa mada Hana msimamo halafu Ni muoga,Yuko Kama Pasco anauma na kupuliza,haeleweki anataka kuongea Nini,mada zake Zina mafumbo mengi anayoyaelewa yeye mwenyewe tu.
Sasa sijui anaogopa Nini wakati Ana ID nyingi humu na Hakuna mtu wa kumkamata.
Angekua ananyoosha Kama wengine labda.
Mada zake zaweza kuwa nzuri ila zi mafumbo mengi,na mafumbo ni dalili za uoga na kutokujiamini.