...akastaajabu kukutana na mshkaji mwingine naye akisubiri zamu yake ifike.Kilichofuata baada ya hapo..........
dah hyo kali, hapo inabidi tutafute utilization of the facility, expected time in the queue, expected time in the system, arrival rate=5customer/minute, aaah aahHapo si inabidi wajipange - First in First Served' au??!!!!!!!!!!!!
tunaanza kuleteana hadithi za..sungura akasema...mbona hatukuwi???jamaa mmoja alipeana miadi na demu mmoja kijijini.ilipofika saa 4 usiku,jamaa akajiandaa kisha akaelekea kwenye gheto la yule demu.alipofika pale,akamkuta mshkaji mwingine akimtongoza yule demu nyuma ya nyumba.jamaa akaona haina shida,akapanda juu ya mti kusubiri wamalizane ili zamu yake na yeye ifike.alipopanda juu ya mti,akastaajabu kukutana na mshkaji mwingine naye akisubiri zamu yake ifike.kilichofuata baada ya hapo..........