Maujohnsimba
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 246
- 225
Hujagusia kuhusu dawa alizowahi kutumia...Habarini wandugu.. Kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na kichefu chefu na kutapika na kinaanza asubuh tu akiamka akisha jisaidia hajakubwa mambo yanaharibika.. Amepima vipimo vingi vya damu hakuna kinachoonekana amefanya endoscopy majibu mazuri amefanya abdomen ct scan kilakitu kipo sawa.. Mwezi wa nane huu anatapika kila siku asubuh.. Msaada mwenye kujua tafadhali.
Wakiume mkuu huyu.Msiwe mnakilimbilia CT Scan kabla ya kupima mimba.
alipewa ant acid kama lansoprazole.. Rabeprazole.. Na pantoprazole ila hakuna iliyomsaidia..Hujagusia kuhusu dawa alizowahi kutumia...
Dahh.. Kwa mateso anayoyapata asubuh Utamwonea huruma..Ni matatizo ya immune system kama hana maambukizi ya hatari yatakaa sawa yenyewe.
Hizo dawa hazitibu kutapika, kama aliwahi kupewa hizo tu, dawa za kutapika hajapewa. Mtafutie dawa za kutapika kwenye duka la dawa uone zitaleta matokeo ganialipewa ant acid kama lansoprazole.. Rabeprazole.. Na pantoprazole ila hakuna iliyomsaidia..
Ameshatumia vomidoxin ..phenegan ila bado ni tatizo kiongozi..Hizo dawa hazitibu kutapika, kama aliwahi kupewa hizo tu, dawa za kutapika hajapewa. Mtafutie dawa za kutapika kwenye duka la dawa uone zitaleta matokeo gani
Habarini wandugu.. Kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na kichefu chefu na kutapika na kinaanza asubuh tu akiamka akisha jisaidia hajakubwa mambo yanaharibika.. Amepima vipimo vingi vya damu hakuna kinachoonekana amefanya endoscopy majibu mazuri amefanya abdomen ct scan kilakitu kipo sawa.. Mwezi wa nane huu anatapika kila siku asubuh.. Msaada mwenye kujua tafadhali.