Kichefuchefu kwa wajawazito

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
Habari wadau mkewangu ana ujauzito wa miezi 2 ila tatizo ni kichefuchefu cha mara kwa mara hatimaye chakula hakikai tumboni, pili hana hamu ya kula isipokuwa uji tu tafadhali msaada kwa huyu mama kijacho maana ana wiki sasa anakunywa uji tu.
 
Kichefuchefu na kutapika ni kitu cha kawaida kwa miezi mitati ya mwanzo,cha muhimu mpeleke hospitali apate huduma na kuanza clinic mapema
 
Jitahidi ukiwa unarudi home, rudi na fuko la mbilimbi, rundo embe nyoko, Ila udongo usimpelekee, pia naskia mananasi na mimba changa sio poa sana, jiandae kununiwa kaka, jitahidi kurudi home mapema, maana WAKIWA hivyo wanakuwa na visa sana hakawii kukuambia unanuka ama ukirudi unanuswa, jitahidi uwe unampa mambo hata Mara tatu kwa wiki, ujazilizie eeh si unajua tena akitoka iwe copy asifanane na jirani, supu supu asilia kuku, samaki nini kwa sana....hongera jombaa, akisikia kichefu chefu we mwambie atapike tu utazoa
 
Reactions: VSM
Huyu wangu anafoka foka mara ananiambia nisimsogelee asee ana vimbwanga mpaka nachoka. Ila hyo hali wanateseka sana heshima kwa wanawake wote wajawazito na waliokwisha zaa na hata wale ambao bado
 
namwachia hela ili anunue mwenyewe,ila hapendi ukaribu coz nanuka jashoooo duuuh
 
Huyu wangu anafoka foka mara ananiambia nisimsogelee asee ana vimbwanga mpaka nachoka. Ila hyo hali wanateseka sana heshima kwa wanawake wote wajawazito na waliokwisha zaa na hata wale ambao bado
Sana hadi huruma ni vita kwa kweli, mama kwanza kwa hali hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…