Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namwachia hela ili anunue mwenyewe,ila hapendi ukaribu coz nanuka jashoooo duuuhJitahidi ukiwa unarudi home, rudi na fuko la mbilimbi, rundo embe nyoko, Ila udongo usimpelekee, pia naskia mananasi na mimba changa sio poa sana, jiandae kununiwa kaka, jitahidi kurudi home mapema, maana WAKIWA hivyo wanakuwa na visa sana hakawii kukuambia unanuka ama ukirudi unanuswa, jitahidi uwe unampa mambo hata Mara tatu kwa wiki, ujazilizie eeh si unajua tena akitoka iwe copy asifanane na jirani, supu supu asilia kuku, samaki nini kwa sana....hongera jombaa, akisikia kichefu chefu we mwambie atapike tu utazoa
Sana hadi huruma ni vita kwa kweli, mama kwanza kwa hali hiiHuyu wangu anafoka foka mara ananiambia nisimsogelee asee ana vimbwanga mpaka nachoka. Ila hyo hali wanateseka sana heshima kwa wanawake wote wajawazito na waliokwisha zaa na hata wale ambao bado