kachui Member Joined Apr 10, 2015 Posts 64 Reaction score 3 Jun 24, 2015 #1 Habari zenu wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume ninayesumbuliwa na tatizo la kichefuchefu na hatimaye kutapika. Kila nikila nyama hiyo hali inanipata. Naombeni msaada wenu wakuu wa JF. Mungu awabariki sana.
Habari zenu wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume ninayesumbuliwa na tatizo la kichefuchefu na hatimaye kutapika. Kila nikila nyama hiyo hali inanipata. Naombeni msaada wenu wakuu wa JF. Mungu awabariki sana.
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,961 Reaction score 3,752 Jul 4, 2015 #2 Ni minyoo mpwa hiyo
N Non-Shatter JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 597 Reaction score 266 Jul 4, 2015 #3 Pole sana hamia kwenye kisamvu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 4, 2015 #4 Una tatizo la kula nyama. Inabidi uache kula nyama na uanze kula samaki. Ni ile shombo ya nyama inakuchefua.
Una tatizo la kula nyama. Inabidi uache kula nyama na uanze kula samaki. Ni ile shombo ya nyama inakuchefua.