Kichefuchefu mara baada ya kula nyama: Nini suluhisho?

Kichefuchefu mara baada ya kula nyama: Nini suluhisho?

kachui

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
64
Reaction score
3
Habari zenu wanaJF,

Mimi ni kijana wa kiume ninayesumbuliwa na tatizo la kichefuchefu na hatimaye kutapika. Kila nikila nyama hiyo hali inanipata. Naombeni msaada wenu wakuu wa JF.

Mungu awabariki sana.
 
Una tatizo la kula nyama. Inabidi uache kula nyama na uanze kula samaki. Ni ile shombo ya nyama inakuchefua.
 
Back
Top Bottom