Kichefuchefu!

Kichefuchefu!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
233
Reaction score
46
Wadau niaje?nimeshazoea kuckia wanawake wajawazito ndo wanahisi kichefuchefu,bt mie leo nimeamka nahisi kichefuchefu,naomba kuuliza huwa kinatokana na nini?je pia cie wanaume huwa tunakipata ama ni mie peke yangu?na pia huwa kinaambukiza na dawa yake tafadhali sana!ahsanteni wadau
 
Labda una minyoo, jaribu kwenda kupima.
 
@Babkey,yawezekana maana serious cjanywa dawa za minyoo zaidi ya miezi 9,2mr ndo naanza na hospitali maana hii hali co ya kawaida,nashukuru kwa ushauri wako!
 
Back
Top Bottom