Kichekesho bora cha mwaka 2016

Kichekesho bora cha mwaka 2016

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wakuu,

Mi mgeni humu naomba niwachekeshe......

Hata pilipili inawasha lakini haiwezi kuwasha gari


Hahahahahah
 
Nimecheka sana haswa pale alipotaka kujionyesha tofauti.
On top,kuna nilichojifunza kutoka ktk kisa chake hiki(multiple ID) ....inawezekana wapo wengi haswa kisiasa.
 
Hahahaaaa
...Asante mkuu unenichekesha kweli!!

Btw una ID nyingine kweli??
 
Hahaha
yaani mkuu unajitekenya mwenyewe?
Eti 'acha ujinga wewe' sasa aache ujinga nani?,nimecheka sana
Mkuu una ID nyingine kweli au jokes tu?
 
Back
Top Bottom