Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile...Habari wakuu,
Mi mgeni humu naomba niwachekeshe......
Hata pilipili inawasha lakini haiwezi kuwasha gari
Hahahahahah
Acha ujinga wewe
Hahahahaha ni muendelezo wa kichekesho au ni kweli una id nyingine?Kha! Sorry mods naomba muifute iyo comment apo juu, nlidhani nimecomment na account yangu nyingine, kumbe nlisahau kulog out
Kaumbuka hahaaaMambo ya ID nyingi ha ha ha kweli jf kuna mambo