Kichekesho bora cha mwaka 2016

uha ha haaa inabidi tuwe makini na hizi ID za upambe nuksi
 
naona wote mliocheka,mnacheka jinsi jamaa avyojimix na id zake si kichekesho.
 
Ha ha haa. Nikikuwa sitaki kucheka. Umejitahidi kunifanya nicheke...
 
Habari wakuu,

Mi mgeni humu naomba niwachekeshe......

Hata pilipili inawasha lakini haiwezi kuwasha gari


Hahahahahah
Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile...
 
Sijui kwanini mimi sijacheka.... Hvi bandama zipo kweli
 
[emoji15] [emoji780] [emoji102] [emoji35] [emoji124]
 
Mpaka leo bado kuna wanaovutia bangi chooni??
 
Kumbe humu watu wanaandika thread na kujijibu wenyewe. Sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…