Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sizonje.....Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
OK.Bujibuji wewe ndiye kichekesho! Kumbe viroba havijaisha!!
Nafikiri hali ngumu ya maisha imemchanganya anakaribia kucizika maana vitu anavyopost siku hizi haviendani na yeyeBujibuji wewe ndiye kichekesho! Kumbe viroba havijaisha!!
Kila mtu anaangalia kiwango cha wa kuongea nao.Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya baba Jessica
Sizonje anatafuta kick. Soon tutasikia kampigia simu Kingwendukwani kunalimitation ya kupiga simu..?