Kichekesho cha karne

Kichekesho cha karne

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
 
Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
Sizonje.....
 
kwani kunalimitation ya kupiga simu..?
 
..hao ndio mainjinia wa viwonder Tz!
Atampigia braza K next time amtaftie vibarua!
 
Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
Kila mtu anaangalia kiwango cha wa kuongea nao.
Napita tuuuuuuuu.
 
ulitaka ampigie simu baba ako ndio isiwe kichekesho ..... watz bwana kila jambo linalofanyika ni kosa
 
mgonjwa wangu niliyekuwa namsimamia kumbe bado hajapona inabidi nimrudise mawenzi au mirembe faster
 
Back
Top Bottom