MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Ndio nakubali mimi mnazi wa Simba! Ila hii statement ya Nugaz kutuliza mashabiki wao ni aibu sana huko mitandaoni!
Bora angepost yeye binafsi na wachache ku repost, aibu ni statement kuwa reposted na wachambuzi wengi kwa namna ambayo hata kama una akili fupi utajua ni matangazo yaliyolipiwa na sio sensitive information iliyogusa wachambuzi!
Manara si kwamba tunamsifia ila akiunguruma ataibua mjadala na sokomoko la mjadala na sio repost za matangazo zinazoendelea za kulipia kama hizi za Yanga huku Nugaz akichagiza kwenye comments "wape salam"
Watu wa Yanga Afrika msisahau akina nani walitaka waulizwe mkikosa ubingwa! Nawaaminia kwenye kuwambana makofi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]