Kichekesho cha taarifa ya Antonio Nugaz!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Ndio nakubali mimi mnazi wa Simba! Ila hii statement ya Nugaz kutuliza mashabiki wao ni aibu sana huko mitandaoni!

Bora angepost yeye binafsi na wachache ku repost, aibu ni statement kuwa reposted na wachambuzi wengi kwa namna ambayo hata kama una akili fupi utajua ni matangazo yaliyolipiwa na sio sensitive information iliyogusa wachambuzi!

Manara si kwamba tunamsifia ila akiunguruma ataibua mjadala na sokomoko la mjadala na sio repost za matangazo zinazoendelea za kulipia kama hizi za Yanga huku Nugaz akichagiza kwenye comments "wape salam"

Watu wa Yanga Afrika msisahau akina nani walitaka waulizwe mkikosa ubingwa! Nawaaminia kwenye kuwambana makofi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Heko wachambuzi endeleeni kurepost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nugaz najua upo humu [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Saizi wabatiana Moyo kama wagonjwa wa ukimwi, na kauli mbiu yao ya Vimba Mwanayanga.

Hao wachambuzi uchwara sishangai wanalipa deni la ubwabwa wa siku ya Yanga media day. We ulishaona kuna anayejiita mchambuzi akipost zile vurugu za Utopolo za kumpiga mwamuzi
 
Hivi Nugaz haya matokeo aliyapata wapi, au alidhani mpira umeisha?

1613457890144.png
 
Wakuu,

Ndio nakubali mimi mnazi wa Simba! Ila hii statement ya Nugaz kutuliza mashabiki wao ni aibu sana huko mitandaoni!

Bora angepost yeye binafsi na wachache ku repost, aibu ni statement kuwa reposted na wachambuzi wengi kwa namna ambayo hata kama una akili fupi utajua ni matangazo yaliyolipiwa na sio sensitive information iliyogusa wachambuzi!

Manara si kwamba tunamsifia ila akiunguruma ataibua mjadala na sokomoko la mjadala na sio repost za matangazo zinazoendelea za kulipia kama hizi za Yanga huku Nugaz akichagiza kwenye comments "wape salam"

Watu wa Yanga Afrika msisahau akina nani walitaka waulizwe mkikosa ubingwa! Nawaaminia kwenye kuwambana makofi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
upungufu wa akili ni tatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom