ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Teknolojia iliyoletwa ili kuonesha utata unapotokea hasa golini.....lakini ili kuona tukio lenye utata inabidi binadamu ndio aamue kufanya hivyo sasa kuna kipindi ataamua kuonyesha kuna wakati atapeta tu huyu mtu aliyeko kwenye mashine.
Mfano juzi Granada ilipewa mkwaju wa penati baada ya kuonekana mchezaji wa barcelona Arturo vidal kuonekana mpira umemgusa mkono....tukio hilo lilithibitishwa na Var
Sasa jana Mchezaji Real madrid mpira umemgusa mkono dhahiri kabisa..Sevilla wakalalamika lakini refa akaendeleza mchezo na watu wa Var wala hawakufanya chochote ! Kana kwamba hawajaona lakini unajiuliza sisi watazamaji wa tv tumeona iweje mtu wa Var aliyeko uwanjani ashindwe kuona ?
Kweli hizi Var ni kama zinakuja kuvuruga tu soka ..wangeweza wangeifanya hiyo mashine yenyewe baada ya kubaini kosa ipige kipenga mpira usimame..then ionyeshe kosa refa aamuru adhabu..lakini swala la kumsubiria binadamu aamue ni kujidanganya ni bora kutumia waamuzi waliopo uwanjani..
Teknolojia iliyofanikiwa itabaki kuwa Ball line teckonology,lakini hii VAR ni kichekesho.