Kichekesho Cha VAR

Kichekesho Cha VAR

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Teknolojia iliyoletwa ili kuonesha utata unapotokea hasa golini.....lakini ili kuona tukio lenye utata inabidi binadamu ndio aamue kufanya hivyo sasa kuna kipindi ataamua kuonyesha kuna wakati atapeta tu huyu mtu aliyeko kwenye mashine.

Mfano juzi Granada ilipewa mkwaju wa penati baada ya kuonekana mchezaji wa barcelona Arturo vidal kuonekana mpira umemgusa mkono....tukio hilo lilithibitishwa na Var

Sasa jana Mchezaji Real madrid mpira umemgusa mkono dhahiri kabisa..Sevilla wakalalamika lakini refa akaendeleza mchezo na watu wa Var wala hawakufanya chochote ! Kana kwamba hawajaona lakini unajiuliza sisi watazamaji wa tv tumeona iweje mtu wa Var aliyeko uwanjani ashindwe kuona ?

Kweli hizi Var ni kama zinakuja kuvuruga tu soka ..wangeweza wangeifanya hiyo mashine yenyewe baada ya kubaini kosa ipige kipenga mpira usimame..then ionyeshe kosa refa aamuru adhabu..lakini swala la kumsubiria binadamu aamue ni kujidanganya ni bora kutumia waamuzi waliopo uwanjani..

Teknolojia iliyofanikiwa itabaki kuwa Ball line teckonology,lakini hii VAR ni kichekesho.
 
Vitu vinafanyika ulaya anayeumia yuko Tz tena ndani ndani mangurumbwende huko[emoji1783]
Tukomae na mambo yetu mkuu, achana na mambo ya kubet utaumia kwa stress tuu.
Unforgetable
Watu wanaosema mambo ya ulaya hayatuhusu sisi watu wa huku mwamapalala ndani, wana uwezo mdogo wa kufikiri.
Na ndiyo chanzo cha ccm kuendelea kutawala.
 
Si jambo baya kujifunza na kufahamu technology ya inchi zilizoendelea

Tafakari
Vitu vinafanyika ulaya anayeumia yuko Tz tena ndani ndani mangurumbwende huko[emoji1783]

Tukomae na mambo yetu mkuu, achana na mambo ya kubet utaumia kwa stress tuu.

Unforgetable
 
Lines-man na Referee wakijadiliana matumizi ya VAR
tapatalk_1569238300531.jpeg
 
Teknolojia iliyoletwa ili kuonesha utata unapotokea hasa golini.....lakini ili kuona tukio lenye utata inabidi binadamu ndio aamue kufanya hivyo sasa kuna kipindi ataamua kuonyesha kuna wakati atapeta tu huyu mtu aliyeko kwenye mashine.

Mfano juzi Granada ilipewa mkwaju wa penati baada ya kuonekana mchezaji wa barcelona Arturo vidal kuonekana mpira umemgusa mkono....tukio hilo lilithibitishwa na Var

Sasa jana Mchezaji Real madrid mpira umemgusa mkono dhahiri kabisa..Sevilla wakalalamika lakini refa akaendeleza mchezo na watu wa Var wala hawakufanya chochote ! Kana kwamba hawajaona lakini unajiuliza sisi watazamaji wa tv tumeona iweje mtu wa Var aliyeko uwanjani ashindwe kuona ?

Kweli hizi Var ni kama zinakuja kuvuruga tu soka ..wangeweza wangeifanya hiyo mashine yenyewe baada ya kubaini kosa ipige kipenga mpira usimame..then ionyeshe kosa refa aamuru adhabu..lakini swala la kumsubiria binadamu aamue ni kujidanganya ni bora kutumia waamuzi waliopo uwanjani..

Teknolojia iliyofanikiwa itabaki kuwa Ball line teckonology,lakini hii VAR ni kichekesho.

Kwanza unapaswa kuelewa kwamba sheria za VAR zina utofauti wa nchi na nchi
Kwa ligi ya Spain mtu akishika kwa mkono inategemea Kama ilikua intentional au mpira ulifata mkono
Lakini epl ukigusa tu kwa mkono siku hizi ni penalti na VAR huamua hivyo moja kwa moja so inategemea na situation hasa laliga
 
Hivi wakuu samahani! Mbona maamuzi ya VAR epl sijawahi kuona refa akienda kuangalia kwenye kakioo kama Laliga na Serie A? mara nyingi naona wanawasiliana kwa call na refa anatoa maamuzi kwa kusikiliza tu.
 
Refer game ya norwich na city, hata epl var ni maboga tu
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba sheria za VAR zina utofauti wa nchi na nchi
Kwa ligi ya Spain mtu akishika kwa mkono inategemea Kama ilikua intentional au mpira ulifata mkono
Lakini epl ukigusa tu kwa mkono siku hizi ni penalti na VAR huamua hivyo moja kwa moja so inategemea na situation hasa laliga
 
Yaani kwenye hali ya kawaida mpira ni ushetani halafu wazungu wanataka balance vichekeshooo hivi ,mmoja apigwe watu wacheke wengine wanune
 
Hivi wakuu samahani! Mbona maamuzi ya VAR epl sijawahi kuona refa akienda kuangalia kwenye kakioo kama Laliga na Serie A? mara nyingi naona wanawasiliana kwa call na refa anatoa maamuzi kwa kusikiliza tu.
Uingereza tukio la VAR linaoneshwa kwenye screen kubwa uwanjani kila mtu anaona
 
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba sheria za VAR zina utofauti wa nchi na nchi
Kwa ligi ya Spain mtu akishika kwa mkono inategemea Kama ilikua intentional au mpira ulifata mkono
Lakini epl ukigusa tu kwa mkono siku hizi ni penalti na VAR huamua hivyo moja kwa moja so inategemea na situation hasa laliga
Mi nataman hyo ya EPL itumike bongo maana sometimes inapelekea utata sana hasa kwa marefa wenye mahaba na team flan na kuzionea teams ndogo. Iwe fowl mpira ukigusa mkono kwa namna yoyote iwayo
 
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba sheria za VAR zina utofauti wa nchi na nchi
Kwa ligi ya Spain mtu akishika kwa mkono inategemea Kama ilikua intentional au mpira ulifata mkono
Lakini epl ukigusa tu kwa mkono siku hizi ni penalti na VAR huamua hivyo moja kwa moja so inategemea na situation hasa laliga

Hakuna kitu kwamba kila ligi ina sharia zake, ligi zote zinafata sharia hiyo hiyo ya EPL.

BTW hata EPL kuna baadhi ya matukio wanayakaushia, mfano siku Man City anacheza na Norwich kuna muda mchezaji wa Man City alishika kwenye 18 refa hata hakuangaika na VAR pamoja na kupewa msisitizo na wachezaji wa Norwich.
 
Teknolojia iliyoletwa ili kuonesha utata unapotokea hasa golini.....lakini ili kuona tukio lenye utata inabidi binadamu ndio aamue kufanya hivyo sasa kuna kipindi ataamua kuonyesha kuna wakati atapeta tu huyu mtu aliyeko kwenye mashine.

Mfano juzi Granada ilipewa mkwaju wa penati baada ya kuonekana mchezaji wa barcelona Arturo vidal kuonekana mpira umemgusa mkono....tukio hilo lilithibitishwa na Var

Sasa jana Mchezaji Real madrid mpira umemgusa mkono dhahiri kabisa..Sevilla wakalalamika lakini refa akaendeleza mchezo na watu wa Var wala hawakufanya chochote ! Kana kwamba hawajaona lakini unajiuliza sisi watazamaji wa tv tumeona iweje mtu wa Var aliyeko uwanjani ashindwe kuona ?

Kweli hizi Var ni kama zinakuja kuvuruga tu soka ..wangeweza wangeifanya hiyo mashine yenyewe baada ya kubaini kosa ipige kipenga mpira usimame..then ionyeshe kosa refa aamuru adhabu..lakini swala la kumsubiria binadamu aamue ni kujidanganya ni bora kutumia waamuzi waliopo uwanjani..

Teknolojia iliyofanikiwa itabaki kuwa Ball line teckonology,lakini hii VAR ni kichekesho.
Yaani hii ndo inaharibu mpira tu, afu shida wanaofanya maamuzi kule juu ni binadamu wale wale. Ambao ukuta anamapenzi na timu flani au haipendi timu flani.
EPL Kwenye mechi NNE za mwanzo ilionyesha VAR imefanya makosa manne. Hii inaonesha jinsi gani timu inaweza kuadhibiwa si tu kwa makosa ya refaree ila pia kwa mapenzi ya marefaree waliopo Kwenye screen
 
Kama hili li MIKE DEAN lililopangwa kuwa Video Assistant Refaree lipumbavu kweli ni lazma litoe maamuzi ya kuikandamiza timu yangu jinga sana hili lidude
 
Back
Top Bottom