Kichekesho Cha VAR

Kichekesho Cha VAR

Kwanza hii VAR mm siipendi kweli yani siku hizi mpira unachezwa kwa muda mrefu bila radha, yaani muda unapotezwa kwa ajili ya huo upumbavu.....mechi ya intermilan UEFA waliongeza dk8 zilizopotezwa na VAR
 
Back
Top Bottom