Anadharau siku zote, alishawahi kuwaambia akina dada wacheza mpira sura zao zimekomaa na hawawezi olewa, alishawahi kuwaambia watanzania kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, juzi mkuu wake wa mkoa kamwambia mjamzito mme wake achukue mikasi na visu ampasue kumzalisha. Ana dharau huyu, hafai huyu, aende zake huyuHaya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana!
Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika?
Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
Nimeona taarifa ya habari, hadi nkaona vichekeshoHaya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana!
Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika?
Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
Mipasho ya kwenye kanga ndiyo anatuletea huku anasahau hata kuteuliwa kwake na Magufuli ilitokana kuwa mwanamke na siyo uwezo!Anadharau siku zote, alishawahi kuwaambia akina dada wacheza mpira sura zao zimekomaa na hawawezi olewa, alishawahi kuwaambia watanzania kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, juzi mkuu wake wa mkoa kamwambia mjamzito mme wake achukue mikasi na visu ampasue kumzalisha. Ana dharau huyu, hafai huyu, aende zake huyu