Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maridhiano ya CUF na CCM haikuwa sababu ya kutokumuwekea pingamizi, kwa ufahamu wangu si lazima chama pekee kimuwekee pingamizi mgombea maana hata mwananchi wa kawaida anaweza kumuwekea pingamizi mgombea km anahisi mgobea husika hajakidhi vigezo vya kupitishwa agombee.Ilitakiwa CUF (chama kikuu cha upinzani Zanzibar) imwekee pingamizi la kutokuwa na sifa za kugombea. Lakini haikufanya hivyo kwa sababu ya ndoa iliyofungwa baina ya CCM na CUF!
Cha ajabu ni kwamba hata vyama vingine havikuweka pingamizi!!!
wasi wasi wang hakutaka tu kujiandikisha zanzibar kwa sababu ukiwa upo 'nje ya nchi' kikazi, na ukarudi jimboni kwako unaruhusiwa kuandikishwa na kupiga kura.
aljunior
kwa hiyo mgombea hana sifa ya kupiga kura! kweli tanzania vituko havishi