demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #21
Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Adebayor - Akashindwa, akasema pesa ni nyingi.Sijaelewa!!!! yaani 1,300 unayochukua kwenye kila jezi over 32,500 anayochukua GSM still unaona hapo hakuna mkono wa birika?
Adebayor kaenda Berkane.
Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Manzoki - Akashindwa, akasema tungoje mchezaji amalize mkataba.
Manzoki kaenda china.
Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Aziz Ki - Akashindwa, akasemaa hana pesa za kushindana na Yanga.
Yanga wakabeba aziz k.
Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kuvunja mkataba wa. SAWADOGO - Akashindwa, akasema pesa ni nyingi tumwache amalize contract yake.
Sawa Dogo anabaki kupambania klabu next season.
Wahindi wanajawahi ku-upenda mpira. Yupo Simba kwa sababu ya kisiasa tu.